Mghana wa Azam Fc aaona Isiwe Tabu

Mghana wa Azam Fc aaona Isiwe Tabu

0

Mghana wa Azam Fc aaona Isiwe Tabu

Mghana wa Azam Fc Bernard Arthur AMEAMUA kufanya maamuzi ya Kuvunja Mkataba wa Kuitumikia Azam Fc ambapo amecheza kwa Nusu Msimu.

Arthur alijiunga na Azam Fc akitokea Liberty Professionals ya Huko Ghana akiwa ndiye mfungaji tegemeo kwenye timu hiyo lakini ameshindwa kufanya hivyo akiwa Azam Fc.

Hata hivyo inaelezwa kuwa hakukuwa na maelewano mazuri baina yake na Kocha Mkuu wa Azam Fc Cioaba Aristica  raia wa Romania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY