Yanga wametangaza mchezaji atakayekosekana dhidi ya Rayon Sports

Yanga wametangaza mchezaji atakayekosekana dhidi ya Rayon Sports

0

Yanga wametangaza mchezaji atakayekosekana dhidi ya Rayon Sports

Jumatano wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia kwenye michuano ya kimataifa Yanga watashuka uwanjani kupambana na Rayon Sports uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam.

Kuelekea Pambano Hilo Klabu ya Soka ya Yanga leo Ikitumia Ukurasa wake wa Instagram imetangaza mchezaji atayekosekana kwenye mchezo dhidi ya rayon Sports.

A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

Yanga imeandika kuwa Said Juma Makapu atakosekana kwenye mchezo huo kutokana na Kuwa na kadi 2 za njano ambapo kanuni za CAF za Mashindano haya zinamzuia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY