BEN PAUL – MOYO MACHINE Video

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=AyhTV1dwsok]

RAIS WA BRAZIL ASIMAMISHWA URAIS KWA SIKU 180 KUPISHA UCHUNGUZI

  Bunge la senate nchini brazil lililokaa kwa takribani masaa 20 kujadili na kupiga kura lilifikia mwisho kwa wingi wa kura za kutokuwa na imani...

HII NDIYO SABABU YA MWANA FA NA AY KULIPWA BILIONI 2 NA TIGO SOMA...

  TIGO imeagizwa na mahakama kuwalipa shilingi bilioni 2 Wanamuziki, Hamis Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY' kwa wimbo wao kutumika katika ringtone za kampuni...

ZAIID AKIWA SERIOUS HUENDA AKAWA RAPPER WA KUOGOPWA ZAIDI MAINSTREAM

  ZAIID amekuwa rapper anayekuja kwa kasi kubwa sana kwenye RAP, Amekuwa anatumia style nyingi za RAP aliwahi kujiita MR. FLOW NYINGI lakini kwa muda...

DONALD TRUMP AANZA KUWA KIGEUGEU KUHUSU MSIMAMO WAKE JUU YA KUWAZUIA WAISLAMU KUINGIA MAREKANI...

  Donald Trump JUMATANO akihojiwa na kituo cha cha radio cha Fox " Fox News Radio " aliulizwa swali kuhusu kauli aliyoitoa MEYA wa London...

HII NDIYO LOGO MPYA YA INSTAGRAM AMBAYO IMEONEKANA KUWAKERA WATEJA WENGI ione hapa

Leo INSTAGRAM wameitambulisha LOGO yao mpya ambayo imeinekana kuwa na maoni mchanganyiko kuhusiana na muonekano wake ila wengi wameonekana kutoipenda na wameweka wazi hisia...

WAKATI SHEREHE ZA KUMUAPISHA MUSEVEN ZIKITARAJIWA KUFANYIKA KESHO, LEO BESIGYE NAYE KAAPISHWA KAMA RAIS...

DRAMA inayoendelea UGANDA ni noma, wakati Sherehe za kumuapisha YOWERI MUSEVEN zikitarajiwa kufanyika kesho huku viongozi kadhaa wa kimataifa wakiwemo ma Rais na wawakilishi...

MATOKEO KATI YA MAJI MAJI NA SIMBA YAKO HAPA

matokeo kati ya maji maji na simba mchezo uliopigwa kule songea umeisha kwa sare ya bila kwa bila FT Maji Maji 0 Simba 0

GIGY MONEY APOST PICHA AKIWA NA GADNER G HABASH, ONA MUDA ALIOKOJOLESHWA HAPA

ni wazi kuwa Gigy Money amekuwa akisumbua sana mitandaoni kwa picha zake tata hasa kule INSTAGRAM, Leo amepost picha nyingine tata leo amepost picha nyingine...

WAJUE WATAKAOKUWEPO XXL, PLANET BONGO HAPA

XXL kipindi cha mchana kuanzia saa 7  hadi 10 kupitia clouds fm watakuwepo mafikizolo wakifanyiwa xclusive interview PLANET BONGO Show ya mchana kuanzia saa 7 hadi 10...

New Video: TEKNO – WHERE

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=ooFAF18L5wQ]