LATEST ARTICLES

Tetesi za Usajili Simba Leo 21 June 2018

Tetesi za Usajili Simba Leo 21 June 2018 Wakati Simba Ikiwa imeshaweka wazi kuwa kwasasa wanahitaji beki mmoja wa kati wa Kimataifa, Mshambuliaji mmoja wa...

Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup Simba vs Mtibwa

Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup Simba vs Mtibwa KIPINDI CHA KWANZA Kipindi cha Kwanza timu zimetoka zikiwa sare ya bila Kufungana huku timu zote zikishambuliana na...

Habari Mpya Kutoka Simba leo 19 June 2018

Habari Mpya Kutoka Simba leo 19 June 2018 kutokana na Kutumika katika mechi nyingi za Ligi Kuu na Mashindano mengine ndani na Nje ya...

Straika anayetajwa Simba atupia bao 2 mwenyewe

Straika anayetajwa Simba atupia bao 2 mwenyewe Kukiwa bado tetesi mbalimbali za Usajili zikiendelea Nchini Tanzania Straika wa Gor Mahia Jack Tuyisenge ameongeza magoli katika...

Wachezaji Simba watakaokosekana Kagame Cup

Wachezaji Simba watakaokosekana Kagame Cup Wakati Simba ikiwa katika hatua za kuelekea Kujiandaa kwaajili ya Michuano ya Kagame Cup ambayo Inatarajia Kuanza June 28 mwaka...

Wabaya wa Yanga wabigwa bao 6 Kenya

Wabaya wa Yanga wabigwa bao 6 Kenya Timu ya Kakamega Homeboyz ambao waliifanyia Vibaya Yanga kwa Kuifunga bao 3 kwa 1 katika michuano ya Sportpesa...

Huyu ndiye mchezaji bora wa Omog ndani ya Simba

Huyu ndiye mchezaji bora wa Omog ndani ya Simba Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Simba Mcameron Joseph Omog kabla ya Kutimuliwa katikati ya Msimu kutokana...

Simba wakizingua Mavugo huenda akatua Huku Msimu Ujao

Simba wakizingua Mavugo huenda akatua Huku Msimu Ujao Wakati Simba wakiwa Kimya juu ya Usajili wa Straika wao Laudit Mavugo ambaye mkataba wake unamalizika mwezi...

Tetesi za Usajili Simba leo 17 June 2018

Tetesi za Usajili Simba leo 17 June 2018 Wakati Simba ikiwa tayari imeshaweka wazi kuwa kwa sasa inahitaji Beki mmoja, Kiungo Mshambuliaji na Straika mmoja...

Baada ya Yanga kujitoa CECAFA hawa ndiyo waliopewa nafasi yao

Baada ya Yanga kujitoa CECAFA hawa ndiyo waliopewa nafasi yao Shirikisho la SOKA Afrika Mashariki na Kati maarufu zaidi kama CECAFA limekubaliana na Yanga kujitoa...