LATEST ARTICLES

Install App ya Kijanja ya michezo

Kwata Unit App - Install App bora ya michezo Kwa habari bora za Michezo hakikisha UmeInstall Kwata Unit App kupitia Playstore. BONYEZA HAPA KUINSTALL APP YA...

Hizi ndizo mashine za kimataifa zilizotua Yanga

YANGA wamepania aisee. Unaambiwa saa chache baada ya kuhakikisha kiungo fundi, Papy Kabamba Tshishimbi amesaini mkataba wa miaka miwili, Kocha Mwinyi Zahera...

Walichosema Simba baada ya Okwi kuaga

STRAIKA Mganda wa Simba Emmanuel Okwi aliandaka ujumbe katika mtandao wa Instagram (Goodbye is the Saddest word), akimaanisha kwamba kusema kwaheri ni...

Tetesi za usajili Tanzania leo 27 May 2019

KIUNGO wa Azam FC , Stephan Kingue raia wa Cameroon ni kama amegomea mkataba mpya ndani ya Azam FC baada ya kukataa...

Yanga wafunguka wanachokitaka kwa Azam

HUKU wakibakiwa na mchezo mmoja dhidi ya Azam, uongozi mpya wa Yanga chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla umekutana na wachezaji pamoja na...

Kamusoko agoma kuondoka Yanga

Kamusoko agoma kuondoka Yanga Wakati kukiwa na hali ya kusubiriwa kuhusu ni wachezaji gani YANGA...

Weusi – Ile Saa | Download mp3

Weusi - Ile Saa | Download mp3 DOWNLOAD MP3

Straika wa kimataifa aaga Simba

Straika wa kimataifa aaga Simba Nyota wa klabu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi anayemaliza muda...

Aussems aongezewa mkataba Simba

Kocha wa Simba Patrick Aussems amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuinoa timu hiyo. Hatua hiyo ni baada...

Tetesi za usajili Yanga leo 26 May 2019

Tetesi za usajili Yanga leo 26 May 2019 Kocha mkuu wa klabu ya Yanga...

Tetesi za usajili Simba leo 26 May 2019

BEKI wa kulia Simba, Zana Coulibaly huenda msimu huu ukawa wa mwisho ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi wa timu hiyo...

Fei Toto ajikabidhibisha Azam

KIUNGO tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amejikabidhi rasmi Azam FC, baada ya kusema klabu hiyo imekuwa ikimwinda kwa muda mrefu...

Mashine ya Singida Hiyooo Jangwani

MKATA umeme wa Singida United, Kenny Ally amesema yuko tayari sasa kuitumikia Yanga msimu ujao kwani tayari mabosi wake wa Singida wameshampa mkono wa kwa heri ili ajiunge na...

Simba mpya hii hapa

FRANCIS Kahata. Huyu ni yule mpishi wa mabao ya Gor Mahia ya Kenya na swahiba mkubwa wa Meddie Kagere anakuja Simba yaani...

Matokeo Simba vs Biashara United leo

Matokeo Simba vs Biashara United leo Mechi Imeanza Simba Sc 0 -...

Kikosi cha Simba dhidi ya Biashara United leo

Kikosi cha Simba dhidi ya Biashara United leo

Tetesi za usajili Yanga leo 25 May 2019

Tetesi za usajili Yanga leo 25 May 2019 Hiyo Yanga ya Msimu ujao usipime unaambiwa...

Tetesi za usajili Simba leo 25 May 2019

Kiungo wa klabu ya Gor Mahia Francis Kahata amethibitisha kuwa ni kweli amefanya mazungumzo na klabu ya Simba Sc kuelekea kwenye dirisha...

Yanga yamuwahi na kumsainisha nyota wake aliyemaliza Mkataba

Yanga yamuwahi na kumsainisha nyota wake aliyemaliza Mkataba Kiungo wa Klabu ya Yanga Mcongomani,...

Jack Tuyisenge asajiliwa timu hii

Jack Tuyisenge asajiliwa timu hii Jack Tuyisenge ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na timu za Simba,...

Ajibu aipa mchongo Yanga

UONGOZI mpya wa Yanga upo kwenye mchakato wa kuboresha mikataba ya wachezaji wao kwa kuhakikisha wanakuwa na muda mrefu kwa hofu ya...