HATIMAYE KOSOVO YAPATA UANACHAMA WA FIFA, YAWA NCHI YA 210 KUPATA UANACHAMA

HATIMAYE KOSOVO YAPATA UANACHAMA WA FIFA, YAWA NCHI YA 210 KUPATA UANACHAMA

0

Katika mkutano huo wa FIFA nchi ya KOSOVO ilikubaliwa uanachama kwa kwa idadi ya kura kupigwa, zilikuwa ni kura za ndiyo au hapana. ambapo kura za NDIYO zilikuwa 141 huku za hapana zikiwa 23.

aidha FIFA ilimteua KATIBU MKUU WAKE huku bahati hiyo safari hii ikigeukia kwa mwanamama tena uzuri zaidi akiwa katokea AFRIKA nchi ya SENEGAL. Pichani hapa chini ndiye aliyeteuliwa bi
 Fatma Samba Diouf Samoura

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY