HAWA NDIYO WATAKAOCHEZA FAINALI YA NBA WESTERN CONFERENCE

HAWA NDIYO WATAKAOCHEZA FAINALI YA NBA WESTERN CONFERENCE

0


OKLAHOMA CITY THUNDERS kwa kifupi OKC timu pekee iliyotoa wachezaji Watano kwenye ile top 5 ya MVP ambao ni KD yani Kevin Durant na WestBrook leo alfajiri wamepata tiketi ya kushiriki fainali za NBA upande wa Magharibi, Kevin Durant aliweka vikapu 37, Westbrook akaweka vikapu 28 kwenye ushindi wa vikapu 113 kwa 99 dhidi Ya SPURS, Ikumbukwe OKC ilipoteza katika game yao ya kwanza  kwa vikapu  124-92 kabla ya kushinda game 4 kati ya 6 zilizofatia sasa fainali ya Western Conference itakuwa kati ya OKC dhidi ya Golden State Warriors

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY