JOHN TERRY KUONGEZEWA MKATABA WA MWAKA MMOJA CHELSEA, ona kilichoandikwa na...

JOHN TERRY KUONGEZEWA MKATABA WA MWAKA MMOJA CHELSEA, ona kilichoandikwa na club yake

0

Licha ya John Terry kutangaza kustaafu soka , team yake ya CHELSEA imemuongezea mkataba wa mwaka mmoja, Terry kwasasa anaumri wa miaka 35 na alitangaza kustaafu soka mwisho mwa msimu huu wa ligi ila mkataba huo huenda ukamfanya kuwepo kwenye club hiyo mpaka mwisho mwa msimu ujao.

Kupitia account ya mtandao wa twitter wa club ya chelsea waliandika
“It is announced in the press conference that John Terry has been offered
a one-year contract extension. John is considering the offer.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY