MAUA SAMA ” Sipendi kuweka wazi mambo yangu ya kimahusiano”

MAUA SAMA ” Sipendi kuweka wazi mambo yangu ya kimahusiano”

0

msanii Maua sama anayetamba na kibao chake cha mahaba niue leo ijumaa akiongea kwenye kipindi cha leo tena, alisema hapendi kuweka wazi mambo yake ya kimahusiano wazi, alisema hivyo akijibu swali aliloulizwa na moja kati ya watangazaji wa kipindi hiko.. ikumbukwe MAUA ni moja kati ya wasanii ambao hawana skendo mbaya ukilinganisha na baadhi ya mastaa wakike waliopo kwenye sanaa

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY