MBEYA KAA TAYARI KWA ” ILAUMIWE HIP HOP SHOW “

MBEYA KAA TAYARI KWA ” ILAUMIWE HIP HOP SHOW “

0
 

WATAZINDUA video ya Adamoe Makanta Feat. Samicho Stimela inayoitwa ILAUMIWE HIPHOP,
Kwenye show Watasindikizwa na Hostzee Ving’ang’a, Watawala na Ukoo (Hao waote toka Dodoma)Pia kutakuwa na Darkmaster na Wasadikaya.,
Na underground mcees kibao wa mbeya siku ni tarehe 28/ 5/ 2016

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY