Mfahamu ” MUTHUVEL KARUNANIDHI ” : Mwanasiasa wa India mwenye miaka 91...

Mfahamu ” MUTHUVEL KARUNANIDHI ” : Mwanasiasa wa India mwenye miaka 91 na bado anaendelea na siasa

0
Karunanidhi.jpg

MUTHUVEL KARUNANIDHI. haya ni mambo nane muhimu kuhusu MUTHUVEL KARUNANIDHI 
1. Amezaliwa tarehe 24/6/1924 HIVYO  anamiaka 91
2. Aliwahi kuacha shule
3.Ni mwanzilishi wa chama cha DMK kilichoanzishwa mwaka 1949
4.Alikuwa mgombea wa jimbo la Tamil Nadu mwaka 1957
5. Amegombea chaguzi 12 za kitaifa na kushinda zote
6.Amekuwa waziri wa Jimbo la Tamil Nadu mara 5
7.Ukiachana na  Uandishi wa Scripts, ameandika stories,vitabu na mashairi
8. Anajina maarufu analoitwa Kalaingar neno lenye neno la kisanaa lenye maana ya mtu mwenye mchango mkubwa  Sinema na MAANDIKO TOFAUTI.

Mwaka 1996 KARUNANIDHI

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY