MIJI ISHIRINI INAYOONGOZA KWA UCHAFUZI WA ANGA DUNIANI, INDIA YATOA MIJI 4...

MIJI ISHIRINI INAYOONGOZA KWA UCHAFUZI WA ANGA DUNIANI, INDIA YATOA MIJI 4 KWENYE 10 BORA SOMA ZAIDI HAPA

0
Hii ndo miji ishirini inayoongoza kwa UCHAFUZI WA HALI YA HEWA, WHO imetoa list hii ambapo nchi ya INDIA imetoa miji minne (4) katika kumi bora, na pia imetoa miji 10 katika miji ishirini inayoongoza, Ripoti hii imetolewa na WHO Shirika la Afya Duniani. INDIA inahitaji jicho la tatu na juhudi binafsi kutatua matatizo haya

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY