SOMA HAPA KUJUA VIDEO YA MADEE MIGULU PANDE ITAFANYIKA WAPI NA DIRECTOR...

SOMA HAPA KUJUA VIDEO YA MADEE MIGULU PANDE ITAFANYIKA WAPI NA DIRECTOR ATAKAYEHUSIKA

0
 

Video Ya Madee ya Migulu pande itafanyika ndani ya Nchi na si nje kama wengi walivyofikiri mwanzo, na pia alipoulizwa kuhusu DIRECTOR alisema ADAM JUMA atahusika kwenye kichupa cha MIGULU PANDE, Either aliulizwa kukaa kimya toka alipotoa wimbo wake wa mwisho takribani mwaka na miezi miwili, alisema ilikuwa ni utaratibu wake alliojiwekea ili kuacha wasanii wengine walioko tip top nao kuachia kazi zao. Haya yote aliyasema kwenye kipindi cha The Playlist cha TIMES FM kinachoongozwa na Omary Tambwe.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY