ZIFAHAMU NYIMBO 5 ALIZOCHAGUA MADEE KWENYE PLAYLIST YA TIMES FM

ZIFAHAMU NYIMBO 5 ALIZOCHAGUA MADEE KWENYE PLAYLIST YA TIMES FM

0
 

Madee alifanya playlist ya kiutofauti sana labda tofauti na watu wengi ambavyo wangefikiria angefanya, ungeambiwa kubashiri naamini ungeweza kusema Madee lazima angeomba wimbo wa Dogo Janja MY LIFE  kwasababu kwanza ni moja kati ya wimbo mzuri unaofanya poa kwasasa na pia dogo janja ni msanii ambaye yuko chini ya madee lakini mambo hayakuwa hivyo, madee aliomba nyimbo hizi Beef ya Mangwear, Nilipotoka ya Geez MABOVU,Nimekubali ya Mez B, Gangstar ya Langa,  ngoma zote hizi nne ukiziangalia ni ngoma ambazo ni za wasanii waliotangulia mbele ya haki. na wimbo wa mwisho yani wa tano ulikuwa Dunia Mapito wa Matonya .

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY