EURO 2016 – PORTUGAL VS POLAND( FAHAMU MUDA WA MECHI KUANZA,HISTORIA YOTE...

EURO 2016 – PORTUGAL VS POLAND( FAHAMU MUDA WA MECHI KUANZA,HISTORIA YOTE TIMU HIZI ZILIPOKUTANA NA DONDOO MUHIMU)

0

Portugal players celebrate at the end of extra-time against Croatia
Leo tarehe 30 / 06  ndiyo siku ambapo mechi za ROBO FAINALI EURO zinaanza, Na mechi ya kwanza itakuwa kati ya Portugal (Ureno) na Poland.

Muda Wa Mechi kuanza
Mechi hiyo inatarajiwa kuanza saa nne usiku(2200 Hours)


Uwanja Utakao Tumika
Stade Velodrome

REFAREE
Mechi hii itapulizwa na Refa tokea Ujerumani anaitwa Felix Brych, akisaidiwa na Stephen Lupp,Bastian Dankert na Marco Fritz

HISTORIA KATI YA PORTUGAL NA POLAND WALIPOKUTANA

Poland na Portugal wamekutana mara kumi (10) toka mwaka 1976 kwenye michuano tofauti huku
PORTUGAL wakishinda mara 4
WAKITOA DROO mara 3
POLAND ameshinda mara 3.

ONA HAPA MATOKEO YOTE KATI YA PORTUGAL NA POLAND

Date Match Result Score Competition
16 Oct 1976 Portugal v Poland L 0-2 FIFA World Cup
29 Oct 1977 Poland v Portugal D 1-1 FIFA World Cup
23 Sep 1981 Portugal v Poland W 2-0 International friendly
10 Oct 1982 Portugal v Poland W 2-1 UEFA European Championship
28 Oct 1983 Poland v Portugal W 0-1 UEFA European Championship
07 Jun 1986 Poland v Portugal L 1-0 FIFA World Cup
10 Jun 2002 Portugal v Poland W 4-0 FIFA World Cup
11 Oct 2006 Poland v Portugal L 2-1 UEFA European Championship
08 Sep 2007 Portugal v Poland D 2-2 UEFA European Championship
29 Feb 2012 Poland v Portugal D 0-0 International friendly

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY