Loading...
KANYE WEST APATA DEAL YA MUDA MREFU TOKA KAMPUNI HII.

KANYE WEST APATA DEAL YA MUDA MREFU TOKA KAMPUNI HII.

0

Rapper Kanye West amepata deal Nyingine kali na ni mkataba wa muda mrefu toka kampuni ya Adidas ambapo watatoa viatu vya Adidas wakishirikiana na Kanye West kupitia brand yake ya viatu vya YEEZ.

Adidas Wamekuwa wakishirikina na Adidas kwenye biashara zao na kuonyesha kupata mafanikio makubwa,  ndiyo maana wameamua kumpa Deal kubwa  huku safari hii wakipanga kutoa Viatu ambavyo vitavaliwa na aina zote za watu wanamichezo na ambao sio wanamichezo.

Kanye West

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY