MTOTO AMBAKA MTOTO MWENZAKE

MTOTO AMBAKA MTOTO MWENZAKE

0

Matukio ya Ubakaji Mkoani shinyanga yamezidi kushika kasi mara baada ya Mtoto wa Miaka 14 kumbaka mtoto mwenzake mwenye umri wa miaka 9.

Tukio hili limetokea katika wilaya ya Kahama ambapo inaelezwa na Hakimu  kuwa licha ya kuwa wanawapa adhabu ya kuchapwa viboko watoto hao ila bado matukio ya kubakwa yamekuwa yakiongezeka hali inayotishia jambo hili.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY