MWANAKIJIJI ASHTUMIWA KUROGA WANAFUNZI

MWANAKIJIJI ASHTUMIWA KUROGA WANAFUNZI

0
fat

Mwanakijiji mmoja wa Kijiji cha IFUMBO Chunya  mbeya, ameshtumiwa kuroga wanafunzi inadaiwa wanafunzi wa shule hiyo kumekuwa na tatizo la watoto kuwa wanaanguka wakiwa shuleni hapo, na ndipo bwana huyo akajikuta anatuhumiwa kuhusika kuwaroga wanafunzi hao.

VIDEO YA TUKIO ZIMA HII HAPA
           

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY