WIMBO WA ZAMANI AMBAO JAY MOE KAAHIDI KUTOA VIDEO YAKE HATA...

WIMBO WA ZAMANI AMBAO JAY MOE KAAHIDI KUTOA VIDEO YAKE HATA KAMA ATAUTOA UZEENI

0

Msanii Jay Moe ni moja kati ya  wasanii ambao unaweza ukasema walikuwa wavivu au walikuwa wazembe kwenye suala la kutoa Video.

Nikikusimamisha leo  unitajie video tatu za Jay Moe linaweza likawa zoezi zito sana,. Jay Moe amesema atatoa Video ya Wimbo wake wa Famous ambao kaufanya na P Funk Majani.

Moe amesema watu wengi wanamlaumu kwa kutotoa video ya Famous, ila na yeye ameahidi kupitia XXL ya Clouds Fm kuwa ni lazima atatoa video ya wimbo huo hata kama Uzeeni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY