Loading...
YOUNG DEE KUACHIA WIMBO MPYA LEO

YOUNG DEE KUACHIA WIMBO MPYA LEO

0


Baada ya kutangaza Kuacha Madawa, Msanii Young Dee anatarajia kutoa wimbo wake mpya chini ya meneja wake Max Warioba.

Wimbo unatarajiwa kuwa Xclusive Kupitia XXL ya Clouds Fm leo kuanzia saa saba hadi saa kumi. Tusubiri kuona kama Yaliyomo bado Yamo.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY