AL SHABAB WAVAMIA KITUO CHA POLISI KENYA

AL SHABAB WAVAMIA KITUO CHA POLISI KENYA

0

Image copyrightAPImage captionAl_shabab_kenya

Polisi nchini Kenya wanasema kuwa zaidi ya wapiganaji 100 wamevamia kituo kimoja cha polisi kaskazini mashariki mwa Kenya.
Wanasema wapiganaji wa al-Shabab waliingia mji wa Wajir wakiwa katika malori matatu saa za alfajiri siku ya Jumamosi.
Walirusha makombora ya roketi kabla ya kuondoka na silaha na magwanda ya polisi.

Image copyrightAFPImage captionAlshabab

Polisi mmoja alijeruhiwa.Wapiganaji wa al-Shabab hutekeleza uvamizi wa mara kwa mara nchini Kenya ,mara nyengine wakivuka mpaka kutoka Somalia.
Kundi hilo pia lina wanachama wake wanaoishi nchini Kenya.
bbc

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY