Loading...
Alichokiandika Wema Sepetu Siku ya Birthday ya mama yake Diamond Platnumz

Alichokiandika Wema Sepetu Siku ya Birthday ya mama yake Diamond Platnumz

0
Wema amezidi kuonyesha kuwa hana kinyongo na Diamond mara baada ya Kupost Picha ambayo alimuwish mama yake Diamond ambaye siku ya leo alikuwa naadhimisha siku yake ya KUZALIWA. 
Wema kupitia mtandao wake wa Instagram aliandika ” Happy Birthday mama Yake”  huku akipost picha ya mama mkwe wake huyo wa zamani.
Picha aliyoipost wema sepetu na maneno aliyoyaandika

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY