ALICHOKISEMA ZIDANE KUHUSU KUMSAJILI POGBA, NA TAARIFA KUHUSU KUHAMA KWA JAMES RODRIGUEZ

ALICHOKISEMA ZIDANE KUHUSU KUMSAJILI POGBA, NA TAARIFA KUHUSU KUHAMA KWA JAMES RODRIGUEZ

0

Manchester United seem to be favourites to sign Paul Pogba
ZIDANE KUMHUSU KUMSAJILI  POGBA
Zidane ambaye ndiye kocha wa Real Madrid  amefunguka na kusema Pogba ni mchezaji mzuri ambaye karibu kila kocha angependa kufanya naye kazi, hasa kwa club inayopenda wachezaji wazuri kama Real Madrid.

Ila kwasasa hayuko tayari kuongelea chochote kuhusu kumsajili, kwani muda bado upo na chochote kinaweza kutokea hivyo watu wasubiri kwani mpaka sasa Pogba bado ni mchezaji halali wa Juventus.

ZIDANE KUHUSU KUONDOKA KWA JAMES RODRIGUEZ

Zidane pia kafunguka kuwa bado James ni mchezaji wao halali na hataondoka katika club hiyo ya nchini Hispania, kumekuwa na Tetesi zikimhusisha James Rodriguez kuondoka katika club hiyo kutokana na kukosa uhakika wa kupata namba kwenye kikosi cha kwanza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY