BAADA YA JESHI KUTAKA KUMPINDUA RAIS WA UTURUKI,RAIS AJITOKEZA FAHAMU KASEMA NINI

BAADA YA JESHI KUTAKA KUMPINDUA RAIS WA UTURUKI,RAIS AJITOKEZA FAHAMU KASEMA NINI

0


Baada ya jaribio la jeshi kutaka kumng’oa rais wa Uturuki, Rais wa Uturuki amejitokeza hadharani akiwa uwanja wa Ndege huku akiwa chini ya Ulinzi mkali wa wanajeshi wanaomuunga mkono huku akiahidi Kulisafisha jeshi hilo.

Inakadiriwa kuwa watu zaidi ya 60 wameshakufa mpaka sasa baada ya zoezi hilo, na watu zaidi ya 300 wakiwa wamejeruhiwa.
   Turkish soldiers block the Bosphorus Bridge in Istanbul

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY