Loading...
BAADA YA KUTOA HOTUBA ONA PICHA WATU WALIVYOMSHTUMU MTOTO WA TRUMP KWA...

BAADA YA KUTOA HOTUBA ONA PICHA WATU WALIVYOMSHTUMU MTOTO WA TRUMP KWA KUUA WANYAMA AFRIKA

0


Leo ilikuwa zamu ya mtoto wa Trum, Eric Trump kutoa Hotuba mbele ya wanachama wa chama cha Republican, ambapo baada ya kumaliza alianza kuwa gumzo huku watu wakimshtumu kuua wanyama ovyo Afrika, Inawezekana huwa anavibali vya kufanya hivyo au ni kweli huwa anua bila uhalali.

Mimi na wewe hatujui zaidi maana siasa huwa mbaya sana unaweza kujitwa majina hata ambayo hukufikiria kuitwa.Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY