Loading...
BAADA YA KUTOA “WIVU” JUX AKATAA JAMBO HILI KUHUSU VANESSA MDEE

BAADA YA KUTOA “WIVU” JUX AKATAA JAMBO HILI KUHUSU VANESSA MDEE

0


Mara baada ya kutoa wimbo unaoitwa  WIVU, JUX amejikuta akiingia midomoni mwa watu huku akihusishwa na kumtungia wimbo huo Mpenzi wake Vanessa. hasa ukizingatia Vanessa alihusishwa kumkana JUX alipohojiwa pande za Kenya.

Jux kupitia E news ya East Africa Tv amefunguka kuwa wimbo huo hajamuimbia Vanessa Mdee, na aliutunga kabla hata ya hilo tukio linalodaiwa Vanessa alimkana Jux.

Akiongea pia kuhusu Kitendo hiko cha Vanessa kumkana Jux ALISEMA haikuwa hivyo kama watu walivyotafsiri, hakuongea kwa lengo lolote baya

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY