Loading...
BAADA YA MSTARI WA ROMA: MADEE AANDIKA JAMBO KUHUSU ROMA

BAADA YA MSTARI WA ROMA: MADEE AANDIKA JAMBO KUHUSU ROMA

0

Msanii tokea Tip Top Connections  Madee kupitia mtandao wake wa twitter amegusia kidogo kuhusu mstari wa Roma ambao ulihusisha Tip Top na MENEJA WAO babu tale. Katika mstari huo Roma Alisema Meneja Kamganda Dangote kaisahau Tip Top.

Sasa madee kafunguka hivi..=====>>>>

” Tumeusikia mstari wa na bado tunautafakari km unaukweli wowote…thn tutawajibu  “


then alipost picha hii akiwa na Dogo Janja.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY