BAADA YA TFF KUHALALISHA STAND UNITED KUWA CLUB YA WANACHAMA,STAND KAMPUNI KUZUIA...

BAADA YA TFF KUHALALISHA STAND UNITED KUWA CLUB YA WANACHAMA,STAND KAMPUNI KUZUIA LIGI ISICHEZWE

0

TFF imemaliza zile choko choko na maneno ya hapa na pale kati ya Stand United KAMA timu ya wanachama au Stand United Kampuni. TFF wameamua kutoa maamuzi kuwa STAND UNITED kwasasa itakuwa ni timu ya Wanachama na sio ya kampuni.

Taarifa zilizopo zinadai kuwa kamati tendaji ya Stand Kampuni wako njiani kupeleka KESI  Mahakani, na moja ya viongozi hao amesema wanaenda mahakamani kuzuia Ligi Isichezwe mpaka watakapopewa haki yao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY