BAADA YA USHINDI MZITO WA JANA,FAHAMU ALICHOKISEMA IBRAHIMOVIC KUHUSU POGBA

BAADA YA USHINDI MZITO WA JANA,FAHAMU ALICHOKISEMA IBRAHIMOVIC KUHUSU POGBA

0

Jana Timu ya Manchester Unnited ilipata ushindi mkubwa wa bao 5 kwa 2 huku Nyota mpya wa timu hiyo Zlatan Ibrahimovic akitumia sekunde 195 tu kuwapatia goli Manchester United.
Zlatan Ibrahimovic: Paul Pogba will make Manchester United 'even more interesting'
Baada ya Mechi hiyo Ibra akiongea na Television Ya Sweeden Kanal 5 alisema  ” kuna kitu kikubwa kinaendelea na kinakuja ndani ya Manchester United.”
aliendelea kusema pia  “Inafurahisha sana, na ngoja tusubiri kama Pogba Atakuja, hapo ndipo itafurahisha zaidi “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY