BASATA KIBOKO: SNURA AONYESHA KUWAOGOPA WAZIWAZI

BASATA KIBOKO: SNURA AONYESHA KUWAOGOPA WAZIWAZI

0
Sasa ni wazi Kuwa Snura anawaogopa sana BASATA baada ya kupost kijivideo instagram huku akiandika maneno yanayoashiria kuwaogopa BASATA, Akiogopa kujimeng’enyua kama ilivyokuwa imezoeleka kipindi cha nyuma  washabiki wake wakifurahia miuno yake.
 SNURA aliandika maneno haya katika video hiyo

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY