Loading...
BASATA YATANGAZA KUMFUNGIA NAY WA MITEGO KUJIHUSISHA NA KAZI ZA SANAA

BASATA YATANGAZA KUMFUNGIA NAY WA MITEGO KUJIHUSISHA NA KAZI ZA SANAA

0
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limemfungia msanii Nay Wa Mitego kutokujihusisha na shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana, Hukumu hiyo imetolewa leo rasmi.

Mwanzo Nay Alifungiwa wimbo wake wa Pale Kati ikiwa ni mara ya pili kufungiwa wimbo wake, ila sasa BASATA wameamua kumfungia nayeye pia huku akitakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moj
a

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY