Loading...
BENJAMIN NETANYAHU AANDIKA HAYA BAADA YA KUFANYA ZIARA RWANDA

BENJAMIN NETANYAHU AANDIKA HAYA BAADA YA KUFANYA ZIARA RWANDA

0

Waziri  mkuu wa Israel Bwana Benjamini Netanyahu akiwa ziarani nchini Rwanda ameandika maneno haya kwenye mtandao wake wa Twitter

” It was a great honor to visit the beautiful country of Rwanda today. I am deeply impressed with Rwanda. “

Benjamini Netanyahu ni mara yake ya kwanza kutembelea nchi hiyo ya Rwanda na Afrika kwa ujumla.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY