BONGE LA NYAU (NYAU LOSSO) KWASASA ANAHITAJI HILI ILI KUSONGESHA MUZIKI WAKE

BONGE LA NYAU (NYAU LOSSO) KWASASA ANAHITAJI HILI ILI KUSONGESHA MUZIKI WAKE

0


Msanii Bonge la Nyau amefunguka kwasasa anahitaji sana management ili kusongesha muziki wake, Bonge la Nyau ni msanii ambaye ameshafanya vizuri na ngoma zake kadhaa kama Vice Versa,  na kwasasa anahitaji meneja kwani anaamini kuwa msanii ili azidi kufanya vizuri ni lazima awe na management ili kusaidiwa baadhi ya vitu.

Akionglea kuhusu sifa za meneja huyo alisema sio lazima awe na pesa, ila anatakiwa awe mjanja mjanja ajuane na watu kwani kuna wasanii wana mameneja wenye pesa ila bado hawafanyi vizuri sokoni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY