Loading...
CHID BENZ ATAJA KIWANGO CHA FEDHA ALICHOTOA DIAMOND KWA AJILI YA MATIBABU

CHID BENZ ATAJA KIWANGO CHA FEDHA ALICHOTOA DIAMOND KWA AJILI YA MATIBABU

0


Msanii Chid Benz ambaye kwasasa yuko fiti baada ya kusumbuliwa kidogo na matatizo ya kutumia madawa ya kulevya, kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm kinachoongozwa na mtangazaji Lil Ommy amefunguka kuwa Diamond Platnumz ametumia zaidi ya shilingi million 20 kwa ajili ya Check Up na Matibabu ya Chid Benz.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY