DEMO
CIARA AFUNGA NDOA NA RUSSEL WILSON

CIARA AFUNGA NDOA NA RUSSEL WILSON

0

MWANAMUZIKI CIARA AFUNGA NDOA RASMI JANA


Baada ya kuvalishwa pete mnamo Machi mwaka huu msanii Ciara amefunga ndoa rasmi na mchezaji wa NFL Russell Wilson jana mbele ya wageni waalikwa wapatao 100  ikiwa ni pamoja na marafiki zake Ciara, Kelly Rowland na Jennifer Hudson

Ndoa hiyo ilifungwa huko Peckforton castle huko Liverpool, Uingereza na wageni waalikwa wote walitakiwa kuweka simu pembeni wakati wa sherehe ili kuzuia picha zozote za siku hiyo kuvuja mitandaoni.
Alivalia gauni zuri sana la Robert Cavalli lililotengenezwa maalum kwa ajili ya siku yake hiyo na akaawa wa kwanza kuwaambia mashabiki wake kupitia mtandao wa instagram officially na kuweka Caption:- ‘’We are the Wilsons!’’ akimaanisha wamekua wa familia moja.
IMG_20160707_113913

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY