Loading...
CIARA AHOFIA FUTURE KUMDHURU MPENZI WAKE WA SASA RUSSEL WILSON

CIARA AHOFIA FUTURE KUMDHURU MPENZI WAKE WA SASA RUSSEL WILSON

0
Kesi ya Ciara na Mpenzi wake wa zamani aliyezaa naye mtoto mmoja mwanamuziki Future, imezidi kufikia patamu baada ya Ciara kusema kuwa anahofu na mpenzi wake huyo wa zamani kuwa huenda akamdhuru mpenzi wake wa sasa Russel Wilson.
Ciara and Russell Wilson announced their engagement in March.
Ciara akiwa na Mpenzi wake wa sasa Russel Willson
Ciara na Future wamekuwa wakishtumiana kwa mambo mengi sana, huku Future akisema Ciara si mama Mzuri, Ila Leo Mahakamani Ciara amefunguka Kuwa Future amekuwa akimtishia mpenzi wake wa sasa Russel Wilson.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY