DARASSA AZIDI KUWAKOSHA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUFANYA HILI

DARASSA AZIDI KUWAKOSHA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUFANYA HILI

0

Rapper Darassa Ambaye kwasasa anafanya vizuri kwa nyimbo zake mbili kama utanipenda na Too MUCH amezidi kuwakosha mashabiki wake mara alipopost VIDEO kadhaa  katika mtandao wake wa Instagram akipiga muziki wa Live.

Wengi wa washabiki hao walionyesha wazi hisia zao kwa kusifia jitihada hizo na kusema ni Level nzuri hivyo wengi walionyesha kumsifia Rapper Huyo. Darassa alikuwa akiperform kwenye sherehe za uzinduzi wa Studio za KISASA za WANENE ENT.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY