Loading...
DAVID MOYES ARUDI TENA LIGI KUU YA UINGEREZA

DAVID MOYES ARUDI TENA LIGI KUU YA UINGEREZA

0


Aliyekuwa kocha wa timu ya Manchester United kabla ya kutimuliwa kwa aibu sasa amepata deal mpya kwenye Club ya Sunderland na tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne ( 4 ) wa kukinoa kikosi hiko kilichoachwa na kocha Sam Allardyce aliyechaguliwa kuwa Kocha wa Timu ya taifa ya England.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY