Loading...
EURO 2016 – BELGIUM VS WALES( FAHAMU MUDA WA MECHI KUANZA,HISTORIA YOTE...

EURO 2016 – BELGIUM VS WALES( FAHAMU MUDA WA MECHI KUANZA,HISTORIA YOTE TIMU HIZI ZILIPOKUTANA NA DONDOO MUHIMU)

0

Muda wa Mechi Kuanza itakuwa saa nne usiku (2200 hours).
Refa Atakuwa kutokea nchi ya Slovania anaitwa Damir Skomina.

KATIKA MECHI 12 AMBAZO WAMEWAHI KUKUTANA (BELGIUM NA WALES)
Timu ya Wales  imeshinda mechi nne (4)
Timu ya Belgium  imeshinda mechi tano (5)
Wametoka sare mara  tatu (3)

Katika mechi tatu za mwisho walizokutana Wales hajafungwa na Belgium hata mechi moja, huku akishinda moja na Kutoka sare mechi mbili.

KIPIGO KIKUBWA ZAIDI AMBACHO WAMEWAHI KUKIPATA WALES TOKA KWA BELGIUM
Wales mwaka 1949 ilifungwa bao 3 kwa 1( Ilikuwa Mechi ya Kirafiki)

 KIPIGO KIKUBWA ZAIDI AMBACHO WAMEWAHI KUKIPATA BELGIUM TOKA KWA WALES

Mwaka 1949 pia Wales iliwaangushia kichapo kikubwa zaidi Belgium kwa kuwafunga mabao 5 kwa 1 katika mechi ya kirafiki.
JEDWALI LINALOONYESHA MECHI ZOTE AMBAZO WAWEWAHI KUKUTANA

Date Match Result Score Competition
22 May 1949 Belgium v Wales L 3-1 International friendly
23 Nov 1949 Wales v Belgium W 5-1 International friendly
17 Oct 1990 Wales v Belgium W 3-1 UEFA European Championship
27 Mar 1991 Belgium v Wales D 1-1 UEFA European Championship
18 Nov 1992 Belgium v Wales L 2-0 FIFA World Cup
31 Mar 1993 Wales v Belgium W 2-0 FIFA World Cup
29 Mar 1997 Wales v Belgium L 1-2 FIFA World Cup
11 Oct 1997 Belgium v Wales L 3-2 FIFA World Cup
07 Sep 2012 Wales v Belgium L 0-2 FIFA World Cup
15 Oct 2013 Belgium v Wales D 1-1 FIFA World Cup
16 Nov 2014 Belgium v Wales D 0-0 UEFA European Championship
12 Jun 2015 Wales v Belgium W 1-0 UEFA European Championship
01 Jul 2016 Wales v Belgium UEFA European Championship
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY