Loading...
FA CUP SASA SUBSTITUTION ZITAKUWA NNE (4)

FA CUP SASA SUBSTITUTION ZITAKUWA NNE (4)

0

FA Cup kwasasa wameingiza sheria mpya ambapo timu itaruhusiwa kufanya substitution 4, Tatu katika muda wa kawaida na hiyo moja endapo timu zitaenda dakika 120.
Sheria hiyo itakuwa inatumika kuanzia Robo FAINALI na kuendelea katika hatua za nusu fainali na Fainali yenyewe.
Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY