FAHAMU ALICHOKIJIBU TEVEZ ALIPOULIZWA KAMA CRISTIANO RONALDO NI MBINAFSI AWAPO UWANJANI

FAHAMU ALICHOKIJIBU TEVEZ ALIPOULIZWA KAMA CRISTIANO RONALDO NI MBINAFSI AWAPO UWANJANI

0


Mchezaji Carlos Tevez ambaye ni raia wa Argentina na mchezaji wa club ya Boca Junior aliulizwa kuhusu shutma za Cristiano Ronaldo kuwa Mbinafsi awapo uwanjani, basi Tevez unajua alijibu nini? Tevez alikataa na kusema hayo huwa wanaandika Magazeti ili wauze ila ukweli ni kwamba Cristiano Ronaldo siyo mchoyo.

Ronaldo na Tevez wamewahi kucheza wote wakiwa ndani ya club ya Manchester United ya Uingereza kabla ya kila mtu kutimkia anakojua yeye.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY