FAHAMU IDADI YA NGOMA AMBAZO AMEWAHI KUFANYA CHID BENZ

FAHAMU IDADI YA NGOMA AMBAZO AMEWAHI KUFANYA CHID BENZ

0

Chid moja kati ya Rappers ambao walifanya kazi nyingi sana miaka ya nyuma huku nyingi zikiwa Collabo, amesema kuna mtu alikaa akatafuta idadi ya ngoma zake zote na kukuta Ziko nyimbo mia tatu tisini na mbili, (392).

Akiongelea pia kuhusu wimbo wake mpya amesema hakujua kuwa kama RayMond ndiye atakayepita kwenye Collabo hiyo, maana kazi yake yeye ilikuwa ni kuweka verse zake then baadae Uongozi wa WCB wakaamua mtu wa kukaa kwenye Korasi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY