
Rihanna na Drake wamezidi kuwaacha fans wao na maswali mengi juu ya Mahusiano yao, Unaambiwa Ijumaa hii iliyoisha waliondoka Muda Mmoja kwenye Club moja huko mjini London inayojulikana kama Tape Club.
Kupitia TMZ wameandika ni usiku wa nne mfuliulizo Drake na Rihanna wameonekana wakiwa pamoja, sasa huenda wamerudiana au kama hawajarudiana ni washkaji poa sana au ndiyo zile za Friends with Benefits.
Loading...