FAHAMU KWANINI DIAMOND PLATNUMZ ANAJIITA “CHIBU”

FAHAMU KWANINI DIAMOND PLATNUMZ ANAJIITA “CHIBU”

0

Inawezekana unajua ila niko hapa kuwajuza wale wote ambao hawajui kuwa Jina La Chibu ambalo Diamond amekuwa akijiita limetokana na jina lake kabisa la Nassib, wakati Diamond Mdogo alikuwa anashindwa kutaja jina lote la Nassib hivyo alipokuwa akiulizwa unaitwa nani alikuwa akisema “CHIBU”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY