Loading...
FAHAMU MASTAA WANAOONGOZA KULIPWA PESA NYINGI ZAIDI

FAHAMU MASTAA WANAOONGOZA KULIPWA PESA NYINGI ZAIDI

0


1.Taylor Swift ($ 170 millions)
Huyu ndiye staa anayeongoza kulipwa pesa nyingi zaidi miongoni mwa mastaa wote duniani., Taylor Swift ambaye ni mwanamuziki wa Pop ambaye amepiga mkwanja mrefu sana kupitia Rolling Stones, North American Touring

2.One Direction ($ 110 millions)
Hawa ni wanamuziki ambao wameegemea zaidi katika muziki wa Band, huku mara nyingi wakipiga Live mara nyingi, Inaaminika kuwa hii ndiyo band inayoongoza kwa kuingiza  pesa nyingi zaidi Duniani.

3.James Patterson (95 millions)
Huyu ni mwandishi wa vitabu mbali mbali, moja kati ya waandishi ambao wanapiga mkwanja mrefu sana kupitia vitabu vyake.


4.Dr. Phil McGraw ($ 88 millions)
Jamaa ni moja kati ya wale watu wanaofanya straight talking, pia ni chief executive producer wa The Doctors, yupo katika nafasi ya nne

5.Cristiano Ronaldo ($ 88 millions)
Anatajwa kama staa wa nne kwa kulipwa mkwanja mrefu zaidi, Mshahara wake kwa mwaka unakadiriwa kufika $ 50 millions kwa mwaka, huku akilipwa pesa nyingine na wadhamini kama nike, tag, Heuer, Sacoor Brothers suits na Monster Headphones. Ronaldo yupo katika nafasi ya tano


6.Kelvin Hart ( $ 87.5)
Huyu ni mchekeshaji na pia ni movies actor ambaye anasifika kwa uchekeshaji ila yeye ameenda mbali zaidi kwakuwa anafanya vichekesho vyake katika viwanja vikubwa vya soka karibu 100, huku akikadiriwa kulipwa  $ 1 millions kwa kila show.

7.Howard Sten($ 85 millions )
Huyu ni Host wa radio moja kati ya watangazaji

8.Lionel Messi (81.5 millions )
Mshindi mara tano wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia, yuko katika nafasi ya nane, moja kati ya wachezaji wanaoongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa.

9.Adele ( 80.5 millions )
Adelle ameuza Copy nyingi sana za Albam yake huku akifanya show nyingi sana sehemu mbalimbali duniani kwenye viwanja vikubwa kama vya soka, Mwishoni mwaka jana Adele inaaminika kuwa nusu ya pesa zake zilikuwa zimetokana na mapato yaliyotokana na muziki.


10.Rush Limbaugh ($ 79 Millions)
Huyu ni mtangazaji wa vile vipindi vya mazungumzo na mahojiano, Rush amekuwa akitumika zaidi hasa kwenye yale midahalo ya wagombea wakati wa Uchaguzi ni moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa vikimuingizia mkwanja mrefu.

Kwenye List ya watu hawa kumi hakuna Mchezaji kikapu yani Basketball player hata mmoja ilka nafasi ya kumi na moja ndipo unamkuta Lebron James ambaye anaingiza ( $ 77 millions).

NB: Hii ni kulingana na jarida la Forbes

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY