FAHAMU MASTAA WENGINE AMBAO WATATOKEA KWENYE EMPIRE SEASON THREE

FAHAMU MASTAA WENGINE AMBAO WATATOKEA KWENYE EMPIRE SEASON THREE

0

French Montana na Birdman wametajwa kuwa kati ya mastaa ambao wataongezeka na kuonekana katika Empire season Three.
Birdman & French Montana Puttin’ Some Respeck On “Empire”
Mwanzo ilisemekana kuwa XZIBIT Angekuwa moja kati ya rappers watakaokuwepo kwenye Empire Season Three 3, ila kwasasa Birdman na French Montanna ndiyo waliothibitika kutokea kwenye Season ijayo ya Empire.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY