Loading...
FAHAMU MUDA AMBAO MECHI KATI YA YANGA NA MEDEAMA ITAANZA

FAHAMU MUDA AMBAO MECHI KATI YA YANGA NA MEDEAMA ITAANZA

0


Yanga siku ya Jumanne ya 26 itajitupa dimbani nchini Ghana kukipiga na Medeama katika mechi ya marudiano.

Mechi hiyo itaanza mida ya saa tisa mchana muda wa Ghana ambapo kwa saa za Afrika Mashariki itakuwa saa kumi na mbili jioni (1800 hours)

Mechi hiyo kesho kupitia Mtandao huu wa www.kwataunit.com tutahakikisha tunakuwekea link ya kuangalia mechi hiyo live.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY