Loading...
FAHAMU NCHI NYINGINE ILIYOMZUIA KOFFI OLOMIDE KUFANYA SHOW ZAKE

FAHAMU NCHI NYINGINE ILIYOMZUIA KOFFI OLOMIDE KUFANYA SHOW ZAKE

0


Baada ya kuhusishwa na kumpiga Dancer wake aliyetambulika kwa jina la Pamela katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) nchini kenya.

Koffi Olomide amezidi kukutana na ngumu mara baada ya kuzuiwa kufanya show Nchini Zambia zilizokuwa zimepangwa kufanyika kuanzia kesho Jumatano mpaka jumatatu ya wiki ijayo, katika matamasha tofauti.

Toka tukio lile la uwanja wa ndege limetokea watu wengi wamelipokea tofauti huku baadhi ya wanaharakati wa kijinsia wakiliita ni tukio la Udharirishaji.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY