Loading...
FAHAMU SAJILI 5 ZA GHARAMA ZAIDI MPAKA SASA (5 MOST EXPENSIVE SIGNINGS)

FAHAMU SAJILI 5 ZA GHARAMA ZAIDI MPAKA SASA (5 MOST EXPENSIVE SIGNINGS)

0

Sadio Mane's move from Southampton to Liverpool is the second most expensive deal of the summer

1.HULK
Ni mshambuliaji ambaye ametoka Zenith Peterburg ya Urusi na kujiunga na Club moja ya nchini China. Hulk amejiunga SHANGHAI SIPG Kwa pound million 46.1
Brazil striker Hulk arrives at Shanghai Pudong International Airport
2.SADIO MANE
Huu ndiyo usajili wa pili kuwa wa mkwanja mrefu ambapo Sadio Mane ametoka Southampton na kujiunga na Liverpool kwa ada ya Uhamisho ya Pound Millions 36.


3.GRANIT XHAKA
Huu ni usajili unaoshika nafasi ya tau mpaka sasa kwa mkwanja mrefu ambapo XHAKA amesajiliwa kwa pound million 34, akitokea Borussia Monchengladbach  ya nchini Ujerumani na kujiunga Arsenal ya Uingereza.

4.MICHY BATSHUAY
Usajili unaoshika nafasi ya Nne unaomuhusisha Batshuay kutoka Marseille kujiunga Chelsea kwa ada ya uhamisho ya pound million 33.2

5.N’GOLO KANTE
Moja kati ya wachezaji wliosaidia kuwapa Leicester kupata ubingwa wa kihistoria msimu uliopita, yeye amesajiliwa kwa pound million 30 na kujiunga Chelsea.
N'Golo Kante has swapped Leicester City for Chelsea

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY