Loading...
FAHAMU TIMU 5 ZINAZOCHUKIWA ZAIDI LIGI KUU YA UINGEREZA,CHELSEA INAONGOZA

FAHAMU TIMU 5 ZINAZOCHUKIWA ZAIDI LIGI KUU YA UINGEREZA,CHELSEA INAONGOZA

0

Kulingana na utafiti uliofanywa katika nchi ya Uingereza Club ya Chelsea ndiyo club inayochukiwa zaidi huku ikifuatiwa na Manchester United.
SOUTHAMPTON, ENGLAND - FEBRUARY 27:  Diego Costa of Chelsea celebrates his team's second goal during the Barclays Premier League match between Southampton and Chelsea at St Mary's Stadium on February 27, 2016 in Southampton, England.  (Photo by Clive Rose/Getty Images)
Chelsea imeipiku Manchester United ambayo ndiyo iliyokuwa inaongoza kwa kuwa club inayochukiwa zaidi katika ligi kuu ya Uingereza.

Katika utafiti huo inadaiwa Mashabiki wengi wa Manchester United uliitaja Man City kama ndiyo timu wanayoichukia zaidi huku ikifuatiwa na Liverpool then Arsenal.

Utafiti huo uliofanyika kwa watu 10,000 umevitaja pia vilabu vya FC BOURNERMOUTH  na LEICESTER CITY ndizo timu zisizochukiwa.

Katika Top 5 hizi ndizo timu zinazoongoza kwa kuchukiwa.


1. Chelsea
2.Manchester United
3.Liverpool
4.Manchester City
5.Arsenal

Chanzo ManchesterEveningNews.co.uk

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY